SFI Tanzania
  • Mkonge ni Tanga
    na
    Tanga ni mkonge
  • Sisal is Tanga
    and
    Tanga is sisal

Home

SFI Tanzania Ltd owns two sisal estates near Tanga in Tanzania, and manufactures sisal fibre. The company has two facilities and aims at a continued high quality production of its sisal products.

The company has a total area of 9,000 ha near Korogwe and Segera and about 400 people are employed at SFI Tanzania Ltd.

Sisal is one of the world’s important natural fibres and is used for ropes, twines, general cordage, but also for paper, buffing cloth, filters, is used in composite materials to replace asbestos and fibreglass, and is increasingly used in the automobile industry.

Map_Africa_Tanzania_close_up.jpg

Location of the Kwamdulu and Kwaraguru Estates in Tanzania.

Karibu sana!

 

SFI Tanzania Ltd ni kampuni inayomiliki mashamba mawili ya mkonge yaliyo nje kidogo ya jiji la Tanga na inashughulika na kilimo cha zao la mkonge.

 

Kampuni hii yenye mashamba mawili ina lengo la kuendeleza uzalishaji wa zao hilo katika ubora wa hali ya juu kwa zao lenyewe na bidhaa zake.

 

Jumla ya eneo ambalo kampuni hii inamiliki ni hektari elfu tisa (9000 ha) zilizopo maeneo ya jirani na miji miwili ya Korogwe na Kabuku huku ikiwa imeajiri watumishi wapatao mia nne (400).